Featured

    Featured Posts

JINSI YAKUPATA DRIVERS



JINSI YAKUPATA DRIVERS NA KUZITUMIA KTK COMPUTER YAKO

Kama kawa katika kupata burudani na mengine mengi, sasa ili kuhakikisha zoezi linaenda sawa lazima computer yako iwe na uwezo wa kupiga mziki, iwe inashika wireless networks uweze download nyimbo za mbali mbali, Pia Graphics ni muhimu sana ziwe vizuri, na vingine vingi, leo Ningependa kushare nawe somo la drivers kwa computer, unajua drivers ni nini?? kazi zake, drivers muhimu ni zipi, sehemu ipi ya computer unaweza pata drivers, na jinsi ya kuinstall drivers zako.....Karibu.




Drivers ni software part katika computer system ambayo kazi kubwa ni ku LINK kati ya Operating system softwares na Hardwares ambazo zinakuwepo ndani ya computer yako, Drivers huusika katika kuleta uelewano wa hizi system mbili za computer.....



Labda nkupe mfano mzuri, wewe computer yako haina BUILT in Bluetooth Card ambayo yenyewe ni Hardware, then unataka kuinstall bluetooth software driver kwa computer yako, unajua nini hutokea, kuna either kugoma kuinstall, ama ikainstall alafu ukawa unapata BLUESCREENproblem kwenye computer yako.

Kuna njia nyingi sana za kuinstall drivers kwa computer yako, hutegemea na uwezo wa computer yako katika njia moja ama nyingine, ...Leo complex system tunakupa njia zote muhimu za kuinstall drivers zako kwa computer yako ili mambo mengine yaende sawa.


NJIA NI KAMA HIZI
Click Start nenda kwa My computer Tab alafu Right Clik kisha bonyeza Properties, ikifunguka enda kwa device manager TAB iko upande wa kushoto juu....then click ....kama inavyoonekana hapa

Dv1.png


Dv2.png


DivAdd.jpg




Ikitokea kwenye computer yako zinaonekana hivi, maana yake drivers zote zipo, lakini ikitokea ina Onekana tofauti labda inaleta Rangi Ya njano ivi...Jua hapo driver imemiss....sasa kuna computer zingine drivers zote zipo ila bado unakuta haipigi mziki, hii inakuwa labda drivers are outdated, ama zimejificha kwa processor yenyewe.....Ushawahi kutana na tatizo hili, twende sawa tutatue wote.

kwa Mfano Unamiss Sound drivers, nenda kwa Sound, Video and Game Controller, then angalia ile driver inayomiss, then i right CLICK alafu baada ya hapo click update itafunguka kama hivi,

Dv3.png



Baada ya hapo unakuja katika uchaguzi, u update online ama on a computer, ukitumia online ni moja kwa moja uwe connected na internet...lakini ukibrowse from computer nako kuna njia zake kama inavyoonekana hapa, na kwa njia hii driver yako inakuwa updated fresh.

Dv4.png



Ukitaka kucheki kwa computer kuna vitu viwili vya kuzingatia,

NJIA YA KWANZA

Kama una Universal Drivers package ambayo hukuwezesha kusearch for drivers in all folders....kama inavyoonekana hapa

Dv5.png




NJIA YA PILI
Hii njia huusisha utaftaji wa drivers za computer yako ndani ya processor, or system nzima ya computer kokote, kuna wakati Operating System yako huingia na baadhi ya drivers lakini huweza kutofanya kazi, hata ukiweka drivers zote unaweza kuta vitu vingne havifanyi kazi kama vile sound haipigi na drivers umeweka, wireless hakuna na ushainstall drivers...hii sasa ni kiboko yake, pale pale kwenye device manager na update driver....kama inavyoonekana hapa


Dv6.png



Na hapa ndo tunakoenda kwa system driver yenyewe automatically huleta hii kitu, yaani huspecify driver unayotafta ....kumbuka hapa tulikuwa yunacheki Sound Drivers kama mfano wetu....kama inavyoonekana driver yake..kilichobaki ni kubonyeza NEXT kwisha habari yake.

Div7.png



NOTE: Njia ya pili ni kwa ajili ya pindi unapokuwa umeweka drivers zote lakini bado computer yako drivers kama hazifanyi kazi hivi


NJIA NYINGINE RAHISI ZAIDI NI IPI???
Hapa sasa tunatumia software mbali mbali kwa computer yako, complex system tunarecommend utumie, COBRA DRIVER PACK SOLUTION ama DRIVER PACK SOLUTION 2013/14 download hapo kwa hiyo link kama unaUtorrents ama bittorrents tayari kwa computer yako.....ni rahisi zaidi, lakini hu shindwa wakati mwingine.


NJIA YA MWISHO KABISA
Najua wengi hatupendi umiza kichwa kwa mambo za drivers, lakini leo pia complex system tumeona sio mbaya kukupa njia za kuinstall drivers za computer yako kwa urahisi zaidi.

Click Start kwenye computer yako then type "windows update" alafu ENTER baada ya hapocheck for updates, ikimaliza install automatically, hii huitaji uwezo wa internet yenye kasi kidogo.

Dv8.png



NOTE: KAMA WINDOWS YAKO SIO GENUINE WINDOWS FROM MICROSOFT, U WILL NOT SURVIVE FOR LONG TIME WINDOWS ITALETA KELELE ZA WINDOWS IS NOT GENUINE, COZ NJIA HII NI KWA AJILI PIA YA WINDOWS VALIDATION
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

www.CodeNirvana.in

nn

  • CSS3 all images appearing slideshow example test questions
  • jQuery vertical em  embedphoto behind
  • HTML5 full screen iphone  thumbnail with images
  • HTML continuous with controls  download photo
HTML5 image carousel

Inaendeshwa na Blogger.
Copyright © www.elimu.cf | LOCATION TANZANIA PRIVATE SITE