MWANAFUNZI LAZIMA AFAHAMU MAMBO MUHIMU KATIKA UCHAMBUZI WA KITABU, KAMA VILE MATUMIZI YA LUGHA, NA NI KWA NAMNA GANI MWANDISHI AMEFANIKIWA KTK KAZI YAKE. NA PIA MTAZAMO WA MWANDISHI KATIKA JAMII. MWANAFUNZI ELEWA. MARA NYINGI MASWALI YA VITABU HUITAJI, MAUDHUI AU UJUMBE AU MIGOGORO. KWA KINA SOMA UCHAMBUZI HUU NA IKIWA UNA SWALI TAFADHARI TUMIA ANWANI HAPO CHINI